TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday, 8 March 2013

Filamu inayoelezea maisha ya Wastara na Sajuki kuingia soko

Wastara Juma
Msanii nyota wa muvi nchini Wastara Juma amesema anatarajia kuachia filamu inayoelezea historia ya maisha yake na Sajuki.

Filamu hiyo itaingia soko mwezi huu. Katika hatua nyingine amesema anatarajia kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya mapumziko ya miezi 6.

No comments:

Post a Comment