TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday 13 September 2013

Siku ya Kimataifa ya Ozone kuadhimishwa Sept. 16

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano (kushoto) Mh. Samia Suluhu Hassan kwa Niaba ya Waziri wa Nchi wa  Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Terezya Hufisa, akisoma hotuba kwa waandishi wa habari hawapo pichani kuelekea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya tabaka la Ozone, ambayo huadhimishwa kila mwaka Sepetember 16. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. Julius Ningu (Picha na Ofisi  ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment