TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday 11 September 2013

Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Sengerema

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji wa Katungulu/Nyamtelela utakaogharimu shs milioni 734 na utawanufaisha zaidi ya watu elfu kumi.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Katunguru kilichoko wilayani Sengerema alipokwenda kijijini hapo kwa kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji wa Katunguru/ Nyamtelela


Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini sherehe za uzinduzi wa mradi wa umeme vijijini uliofanywa na Rais Kikwete huko Bukokwa wilayani Sengerema

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipokea hati ya makabidhiano ya mradi wa umeme wa Bukokwa uliofadhiliwa na Millenium Challenge Co-operation ya Marekani.(Picha zote na John Lukuwi)

No comments:

Post a Comment