TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Saturday 12 October 2013

Wiki ya Vijana Iringa

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akizungumza na Vijana na wakazi wa Manispaa ya Iringa wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Kilele cha Mbio za Mwenge mkoani Iringa.Wengine ni mbunge wa Iringa (kupitia viti maalum) Mh. Rita Kabati (katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Vijana Zanzibar Bw.Mohamed Salim Alli

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabrie na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana wa Zanzinbar Mohamed Salim Alli (wa tatu kutoka kulia) wakiwa na waongoza midahalo (MC) na shughuli nzima ya Maonyesho ya Wiki ya Vijana katika uwanja wa Mlandege Iringa

Vijana wa Halaiki wakiendelea na maandalizi ya sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa.

Picha na Aron Msigwa- MAELEZO

No comments:

Post a Comment