TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 12 December 2013

Klabu ya Purosangue ya Italia kushirikiana na serikali kuibua vipaji chipukizi vya riadha

Mkurugenzi wa Purosangue Athletic Club Nico Angelo Pannevis(Kushoto) akimweleza jambo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Professa Elisante Gabriel alipomtembelea Ofisini kwake jana kwa ajili ya kumweleza mpango wake wa kushirikiana na Tanzania kuwaendeleza wanariadha chipukizi nchini.                                                                                                                

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Professa Elisante Gabriel(Kushoto) na Mkurugenzi wa wizara hiyo Leonard Thadeo (Kulia) wakionyeshwa tisheti yenye logo ya klabu ya Purosangue Athletics ya nchini Italia jana. (Katikati) ni
Mkurugenzi wa Purosangue Athletic Club Nico Angelo Pannevi(Picha zote na Concilia Niyibitanga wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)No comments:

Post a Comment