TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday 13 December 2013

Ufungaji wa mradi salama wa Bioteknolojia ya kisasa

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akisoma hotuba ya ufunguzi katika warsha ya kufunga mradi wa matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa katika Chuo ChaTaifa cha Utalii jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Washiriki wa warsha ya matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa wakifuatilia hotuba ya ufunguzi kutoka kwa Mgeni rasmi (hayupo pichani). Warsha hiyo ya kufunga mradi imefanyika leo katika Chuo cha Taifa cha Utalii jijini Dares Salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Sazi Salula (kushoto) akikabidhi kifaa maalumu kwa Bw Haji Saleh, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kilimo - Zanzibar. Kifaa hicho ni kwa ajili ya kufanya tathmini na usimamizi angalifu wa bidhaa za mazao yaliyofanyiwa mabadiliko ya kijenetiki.

No comments:

Post a Comment