TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 13 February 2014

LiverPool yazidi kusonga mbele, yaikalisha Fulham


LIVERPOOL imepanda hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuifunga mabao 3-2 Fulham usiku huu.


Kolo Toure alijifunga dakika ya nane kuipatia Fulham bao la kwanza na Richardson akaifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 63.
Mabao ya Liverpool yalifungwa na Daniel Sturridge dakika ya 41, Coutinho dakika ya 40 na mkongwe Steven Gerrard dakika ya 90 kwa penalti.
Liverpool sasa imetimiza pointi 53 baada ya kucheza mechi 26 na inabaki nafasi ya nne.
Clincher: Liverpool's Steven Gerrard scores a penalty past Fulham goalkeeper David Stockdale

No comments:

Post a Comment