![]() |
| Wasanii wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Steven Kanumba wakiwasili katika viwanja vya Leaders Cluba kwa ajili ya wananchi na viongozi mbalimbali kuweza kuaga kwa mara ya mwisho |
![]() |
| Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal pamoja na viongozi wenzake wakiaga mwili wa marehemu Steven Kanumba kwa mara ya mwisho katika viwanja ya Leaders Club |
![]() |
| Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anayefahamika kama 'Sugu akiaga mwili wa marehemu Steven Kanumba' |



No comments:
Post a Comment