| Wakati kikundi hicho cha Amani kikionyesha juhudi za kujikomboa, waume zao hawakuwa nyuma katika kuwaunga mkono kwani waliungana kwa pamoja ili kujionea maendeleo ambayo wake zao wanafanya |
| Wanakikundi wakiwa na familia zao katika sherehe za Kikundi cha | Amani |
| Hawa pia ni baadhi ya wanakikundi wakifuatilia kwa makini sherehe zinavyokwenda |
| Sherehe nzima ilinogeshwa kwa muziki na si wengine bali ni Edger na Wilfred ndio waliosimamia mpango mzima wa muziki ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono wake zao |
| Hawa Malaika walikuwa ni miongoni katika sherehe ya kikundi cha Amani, watoto wamependeza |
No comments:
Post a Comment