Jamani, kila siku fukuza fukuza ya wafanyabiashara wadogo sehemu mbalimbali za miji, je waende wapi? ama warudi mtaani kuwa vibaka? wengine wanategemea kuuza bidhaa zao ili wapate fedha kidogo kujikimu na maisha lakini hawana raha ya maisha kutokana na mgambo wa jiji kuwafuatilia kila mara
No comments:
Post a Comment