SEMINA ZA JINSIA NA
MAENDELEO
UNAKARIBISHWA
KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO
WIKI HII Prof. Marjorie Mbilinyi na Geofrey
Chambua WATAWASILISHA
MADA:Jinsia na Kilimo
Katika Muktadha wa Kibepari: Bajeti ya Kilimo na Chakula
Lini: Jumatano Tarehe 22/8//2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara
ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment