Maadhimisho ya miaka 75 ya Shirika la Moyo safi wa Maria yalivyofana Mgolole Morogoro
Mama Mkuu wa Shirika la Moyo Safi wa Maria wa kwanza mstari wa mbele Sista Flora Chuma akiwa na Masista wenzake katika maadhimisho ya miaka 75 ya Shirika hilo yaliyofanyika Mgolole Morogoro hivi karibuni
Masista wadogo wakiimba
Sista Flora Chuma akiwasha mshumaa na Mshauri wake wa kwanza Sista Julieth Makonde katika kaburi la mwasisi wa Shirika hilo hayati Askofu Bernad Hilhorst
No comments:
Post a Comment