TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 21 May 2013

Tamasha la michezo la shule ya msingi Feza lilivyofana

Mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania Aisha Bilal akiwavisha wanafunzi medali baada ya kushinda kwenye michezo mbalimbali kwenye tamasha la michezo lililoandaliwa na Shule ya Msingi Feza mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wanafunzi walioshinda michezo mbalimbali kwenye tamasha la michezo lililoandaliwa na Shule ya msingi Feza mwishoni mwa wiki, wakiwa katika picha ya pamoja
Kundi la Serengeti likiwa limeshika kombe baada ya kushinda katika michezo ya wanafunzi wa Shule ya msingi Feza mwishoni mwa wiki

Baadhi ya wanafunzi  wa Sule ya msingi Feza  wakishindana kula apple kwenye tamasha la michezo la shule hiyo lililofanyika mwishoni mwa wiki

Wanafunzi wa Shule ya msingi Feza wakishiriki mchezo wa kuruka wakiwa ndani ya gunia kwenye tamasha la michezo la shule hiyo lililofanyika mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment