Baadhi ya wakazi wa Kata ya Kishapu wakichota maji kwenye mto. |
Harakati za utafutaji maji |
Haya ni maji yaliotuwama, si salama lakini wakazi hulazimika kuyatumia kutokana na shida ya huduma hiyo |
|
Mashimo haya ni visima vya muda ambavyo kwa sasa vimekauka katika eneo la Mto Tungu |
Mchuuzi wa maji Kijiji cha Mhunze akichota maji kwaajili ya kuuza. Dumu moja huuza wastani wa sh 500 |
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka kituo cha Clouds FM, Aziz Kindamba akinywa maji kwenye kisima cha muda |
Shida ya Maji Kata ya Kishapu haipo kwa wananchi pekee hata wanyama. Hapa nao wanapita kunywa maji baada ya malisho |
Picha zote na Joachim Mushi wa The Habari.com
No comments:
Post a Comment