Hatimaye Azonto atua kwa ajili ya shoo yake ya Jumamosi
Msanii wa
muziki kutoka nchini Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza Fuse ODG, Azonto
(Katikati) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani.
Msanii wa
muziki kutoka nchini Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza Fuse ODG, Azonto
akicheza muziki pamoja na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa
mkutano wake, msanii huyo ataimba kesho katika viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa
Jamii.
Msanii wa
muziki kutoka nchini Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza Fuse ODG, Azonto
akicheza muziki pamoja na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa
mkutano wake, msanii huyo ataaimba kesho katika viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa
Jamii.
No comments:
Post a Comment