Meneja wa kiwanda cha kutengeneza samaki
cha Tanpearch cha jijini Mwanza Sheejo
Varghsese (Kulia) akiwaonyesha washiriki wa mafunzo
katika maadhimisho ya siku ya ozone, namna mitambo ya kuupozea katika
kiwanda hicho yenye kemikali rafiki kwa tabaka la Ozone inavyofanya
kazi.
|
No comments:
Post a Comment