Jaji Bomani, Serengeti wachangia mbio za serengeti marathoni
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Jaji Mark Bomani (wa pili kulia) akikabidhi fedha Sh. Milioni 2.5 kwa Mratibu wa mbio za Serengeti
Marathon Xavier Mhagama kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi zitakazokabidhiwa siku ya mbio za Serengeti marathoni zitakazofanyika Desemba 4. (Wa kwanza kushoto ni Msemaji wa kituo cha michezo cha Serengeti Asha Bani na (wa kwanza kulia) ni Meneja Masoko wa Serengeti Brewries Allan Chonjo.
No comments:
Post a Comment