Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Professa Elisante Gabriel(Kushoto) na Mkurugenzi wa wizara hiyo Leonard Thadeo (Kulia) wakionyeshwa tisheti yenye logo ya klabu ya Purosangue Athletics ya nchini Italia jana. (Katikati) ni Mkurugenzi wa Purosangue Athletic Club Nico Angelo Pannevi(Picha zote na Concilia Niyibitanga wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo) |
|
No comments:
Post a Comment