Hii ndiyo ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
Manchester City itakutana uso kwa uso na Barcelona katika mzunguko wa pili wa 16 Ligi ya Mabingwa Ulaya. Wakati huo, Asernal itakutana na Bayern Munich.
Mzunguko wa pili utaanza kama ifuatavyo
- Last-16 ties: 18/19/25/26 February (first legs) and 11/12/18/19 March (second legs)
- Robo Fainali : 1/2 April and 8/9 April
- Nusu Fainali : 22/23 April and 29/30 April
- Fainali: 24 May
Bingwa wa mwaka 2012 Chelsea, itakutana na Galatasaray na Manchester United itakutana na t Greek side Olympiakos.
Chelsea na Manchester United wana faida kwa kuwa wataanzia nyumbani baada ya kushinda kwenye makundi yao. Wakati Manchester City na Arsenal watasaifiri ugenini.
City walimshinda Bayern Munich 3-2 katika kundi D la mchezo uliopita.
Historia ya mechi ya Asernal dhidi ya Bayern
5 Dec 2000 -
Arsenal 2 Bayern 2
14 Mar 2001 - Bayern 1 Arsenal 0
22 Feb 2005 - Bayern 3 Arsenal 1
9 Mar 2005 - Arsenal 1 Bayern 0
19 Feb 2013 - Arsenal 1 Bayern 3
13 Marc 2013 - Bayern 0 Arsenal 2
Chanzo. Bbc Sports
14 Mar 2001 - Bayern 1 Arsenal 0
22 Feb 2005 - Bayern 3 Arsenal 1
9 Mar 2005 - Arsenal 1 Bayern 0
19 Feb 2013 - Arsenal 1 Bayern 3
13 Marc 2013 - Bayern 0 Arsenal 2
Chanzo. Bbc Sports
No comments:
Post a Comment