Rais wa Zamani wa Marekani Bill Clitoni (Kulia) akiwa na Nelson Mandela alipomtembelea nyumbani kwake Qunu kwa ajili ya kumjulia hali siku ya kuzaliwa kwake Julai 17, 2012 |
Mandela akiwa na Mke wake wa zamani Winnie Mandela baada ya kutoka gerezani alipokuwa akitumikia kifungo cha miaka 27 |
Nelson Mandela akimwonyesha njia Princess Diana baada ya kumtembelea Cape Town March 17, 1997 |
Mandela wakati huo akiwa kama Kiongozi wa Chama cha Natioanal African Congress akiwa katika pozi la mapambano |
Nelson Mandela akiwa na mke wake Grace Machel wakifurahia jambo (Picha zote kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo) |
No comments:
Post a Comment