Kwa
mujibu taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, ratiba ya shughuli za uchunguzi wa afya yake na kwa kutilia maanani siku
za kusafiri kwenda Marekani na kurudi nchini, Rais Kikwete anatarajiwa kurejea nchini
Alhamisi ya wiki ijayo, Desemba 26, 2013.
No comments:
Post a Comment