Rais Kikwete akiwa kwenye kumbukumbu ya Nelson Mandela
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla
ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg
jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani
kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee
Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg jana.
No comments:
Post a Comment