MSHAMBULIAJI
Robin van Persie ameendeleza makali yake kuelekea Kombe la Dunia baada
ya usiku wa jana kufunga bao pekee Uholanzi ikiilaza 1-0 Ghana katika
mchezo wa kirafiki Uwanja wa De Kulp mjini Rotterdam.
Nyota huyo wa Manchester United alifunga bao zuri dakika ya tank akimalizia kazi nzuri ya kiungio Wesley.
Timu
ya Louis van Gaal ilitawala mchezo mwanzo hadi mwisho na ingeweza
kupata mabao zaidi kama si kupoteza nafasi ikiwemo ya Arjen Robben kabla
ya mapumziko akiwa anatazama na lango.
Kikosincha
Uholanzi kilikuwa: Cillessen, Janmaat, Vlaar, De Vrij, Martins Indi,
Blind, De Jong, Sneijder/Lens dk81, De Guzman, Robben na Van
Persie/Depay dk73.
No comments:
Post a Comment