Meneja Mauzo na Usambazaji waKampuniya Bia Tanzania
(TBL) Kanda yaZiwa, Godwin Zakaria (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha
MitumbwikandayaZiwa, Richard Mgabo, moja ya vikombe vitakavyoshindaniwa katika mashindano
ya mbio za Mitumbwi wakati wa uzinduzi
huo uliofanyika jijini Mwanza mwishonimwa wiki kwa udhamini wa bia ya Balimi
Extra Lager |
No comments:
Post a Comment