Muogeleaji wa Tanzania Tessa Francis Jones akipokea kikombe
kutoka kwa mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (MBT), Timoth Mganga baada ya
kufanya vizuri na kuwa bingwa kwa waogeleaji wa umri wa miaka 9 kwenye
mashindano ya Afrika hivi karibuni, Tanzania ilitwaa medali 22
|
No comments:
Post a Comment