Rais Jakaya Kikwete akutana na viongozi wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi na
Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho
alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa Wizara ya
pamoja na wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi
alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
No comments:
Post a Comment