TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 25 July 2013

Wasanii wa Maigizo, Filamu, Muziki, Uchoraji na Ngoma za Asili Dar 'Wanolewa'...!

Baadhi ya wasanii walioshiriki kwenye semina ya TGNP, wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji wa TGNP

Mwezeshaji Lilian Liundi wa TGNP akitoa mada kwenye semina  ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia

Mwezeshaji wa TGNP Kenny Ngomuo akitoa mada kwenye semina ya wasanii

Baadhi ya wasanii walioshiriki Semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia

Baadhi ya wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)
Baadhi ya wasanii walioshiriki Semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia

Baadhi ya wasanii walioshiriki Semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia(Picha zote Na Joachim Mushi wa The Habari).

No comments:

Post a Comment