Msanii wa bongo movie Jakline wolper (mwenye kaptula ya bluu) akipambana na Mhe. Halima Mdee kwenye usiku wa Matumaini katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam |
Bondia Thomas Mashari (mwenye kaptula nyeupe) akipambana na Bondia kutoka Kenya. Mshindi katika pambano hilo alikuwa ni Thomas Mashari |
Bondia Francis Miyeyusho wa Tanzania akipambana na Shadrack Kutoka Kenya |
No comments:
Post a Comment