BFT yapewa msaada wa vifaa vya michezo kwa ajili ya timu ya taifa
Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za ridhaa(BFT)
Makore Mashaga (Kushoto) na Mkurugenziwa shule za St. Mary’s na
mmiliki wa hoteli ya Palm iliyoko Bagamoyo Mutta Rwakatale wakiangalia vifaa vilivyotolewa kwa ajili ya timu ya taifa ya ndondi
Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za ridhaa(BFT)
Makore Mashaga (Kushoto) akipokea vifaa vya ndondi kwa ajili ya timu ya taifa kutoka
kwa Mkurugenziwa shule za St. Mary’s na
mmiliki wa hoteli ya Palm iliyoko Bagamoyo Mutta Rwakatale
Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za ridhaa(BFT)
Makore Mashaga (Kushoto) akipimana na Mkurugenziwa shule za St. Mary’s na
mmiliki wa hoteli ya Palm iliyoko Bagamoyo Mutta Rwakatale baada ya kukabidhiana vifaa
No comments:
Post a Comment