TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 19 September 2013

Banki ya Barclays Tanzania yazindua wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha nchini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya Barclays Tanzania Kihara Maina akitoa hotuba ya kumkaribisha  Mgeni Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na Uchumi  Dkt. William Mgimwa katika hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika  usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions).Uzinduzi huo uliyofanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dkt. William Mgimwa akiongea na viongozi, wawezeshaji na wateja wa  Benki ya Barclays Tanzania  wakati wa  hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika  usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions)  iliyofanyika leo kwenye  hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. 

Baadhi ya washiriki wa semina ya udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions) wa Benki ya Barclays wakihudhuria  hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye  hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. 

(Picha zote na Eleuteri Mangi-Maelezo)

No comments:

Post a Comment