Mkurugenzi wa Biashara wa Timu ya Sunderland ya nchini Uingereza Gary
Hutchinson(wa pili kutoka kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini
Dar es salaam juu ya mazungumzo ya awali ya timu hiyo kuanzisha ushirikiano
na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii na Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini
Uingereza na vilevile kuendeleza michezo hapa nchini.Wengine katika picha ni
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Leonard Tadeo(kushoto) , Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Dkt. Alyoce Nzuki(wa
pili kutoka kushoto) na Mwakilishi wa timu ya Sunderland hapa nchini Edmund
Hazzal(kulia)
|
No comments:
Post a Comment