Meneja Mawasiliano wa Kituo cha
Uwekezaji Bi. Pendo Gondwe (kulia) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) kuhusu mafuzo ya kitaalam waliyoyatoa
kwa wajasiriamali 285 katika Mikoa ya Dar es Salaam,Kilimanjaro, Mwanza
na Mbeya ili kuwawezesha kukabiliana na ushindani wa kiuwekezaji na kufikia
viwango vya kimataifa, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Afisa Mwandamizi Huduma kwa
Wawekezaji Kituo hicho Bw. Patrick Chove.
|
No comments:
Post a Comment