Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akizungumza na
Vijana
na wakazi wa Manispaa ya Iringa wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana
Kitaifa kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na
Kilele cha Mbio za Mwenge mkoani Iringa.Wengine ni mbunge wa Iringa
(kupitia viti maalum) Mh. Rita Kabati
(katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Vijana Zanzibar Bw.Mohamed Salim
Alli
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabrie na Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Vijana wa Zanzinbar Mohamed Salim Alli (wa tatu kutoka kulia) wakiwa na waongoza midahalo (MC) na
shughuli nzima ya Maonyesho ya Wiki ya Vijana katika uwanja wa Mlandege Iringa
Vijana wa Halaiki wakiendelea na maandalizi ya
sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa.
No comments:
Post a Comment