Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais
Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura Bush wakiwa jukwaa
la viongozi na watu mashuhuri baada ya Kuadhimisha Kumbukumbu
ya Kifo cha aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani,
Mheshimiwa Nelson R Mandela jana katika uwanja wa FNB
jijini Johannesburg.
|
No comments:
Post a Comment