Zaidi ya maraisa tisini
wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson
Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kwa Shujaa huyo wa Afrika.
Alisema maisha ya Mandela lazima yawe mfano mzuri kwa dunia nzima hasa vita alivyopigania kuhakikisha utu wa watu unaheshimiwa.
Jamaa za Mandela wamemtaja baba yao Mandela kama mtu aliyetaka watu kuwa sawa.
Mmoja wa wajukuu wa Mandela alikariri shahiri la kusisitiza mshikimano wa watu. Obama alishangiliwa ingawa Rais Jacob Zuma anayehutubia wananchi alizomewa mara kwa mara.
No comments:
Post a Comment