Stamico na Tanzania One zaingia ubia wa kuchimba madini
Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) naMwenyekiti waKampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwewakibadilishana hati za mkataba wa ubiakuhusu uchimbajiwa pamoja wa madini ya Tanzanite katika
kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es
salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) naMwenyekiti waKampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia )Balozi Ami Mpungwewakisaini hati
za mkataba wa ubiakuhusu uchimbajiwa pamoja wa madini ya Tanzanite katika
kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es
salaam.
Katibu Mkuu
wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana
(leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa
ubiakuhusu uchimbajiwa pamoja wa madini ya Tanzanite katika
kitalu c kwenye eneo la Mererani kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) na TanzaniaOne . Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (katikati) naMwenyekiti waKampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe.
No comments:
Post a Comment