Ufungaji wa mradi salama wa Bioteknolojia ya kisasa
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akisoma
hotuba ya ufunguzi katika warsha ya kufunga mradi wa matumizi salama ya
Bioteknolojia ya kisasa katika Chuo ChaTaifa cha Utalii jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Washiriki wa warsha ya matumizi salama ya
Bioteknolojia ya kisasa wakifuatilia hotuba ya ufunguzi kutoka kwa Mgeni rasmi
(hayupo pichani). Warsha hiyo ya kufunga mradi imefanyika leo katika Chuo cha
Taifa cha Utalii jijini Dares Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Bw. Sazi Salula (kushoto) akikabidhi kifaa maalumu kwa Bw Haji Saleh,
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kilimo - Zanzibar. Kifaa hicho ni kwa ajili yakufanya tathmini na usimamizi angalifu wa bidhaa za mazao
yaliyofanyiwa mabadiliko ya kijenetiki.
No comments:
Post a Comment