Kocha wa Barcelona Gerardo Martino amesema La Liga
ndo imeanza baada ya timu yake kuleta matumaini ya kutwaa ubingwa kwa
kuifunga Real Madrid mabao 4-3.
Kocha Gerardo ametamba kuwa wamerudi kupigania ushindi kwenye Ligi hiyo na kuwa alikuwa na uhakika kuwa timu hizo tatu zitakuwa zikipambana kuwania ubingwa.
Messi anachukua nafasi ya pili, kuwa mfungaji bora katika Ligi ya La Liga akiwa na magoli 236.
No comments:
Post a Comment