Sherehe za Shule ya Sekondari Imperial Msolwa Chalinze mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Imperial Arup Mukhopadhyay (Kushoto), Mwenyekiti wa Bodi wa Shule hiyo (kulia) Bohela Lunogela na Mzazi wa kijana wa kidato cha kwanza Yusuf Dola aliyetunukiwa kikombe na cheti kwa kufanya vizuri darasani.
Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Imperial iliyopo Msolwa Chalinze
Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza waliofanya vizuri darasani, michezo, nidhamu na masomo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kunukiwa vyeti na vikombe katika sherehe ya siku ya wazazi iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Shule iko katika mazingira mazuri, ni ya bweni. Ni shule mpya ndio kwanza ina wanafunzi wa kidato cha kwanza pekee. mwakani inatarajia kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano na sita. Pia, itaanza kupokea wanafunzi kutoka mataifa mbalimbali.
No comments:
Post a Comment