Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano (kushoto) Mh. Samia Suluhu
Hassan kwa Niaba ya Waziri wa Nchi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Mazingira Dk. Terezya Hufisa, akisoma hotuba kwa waandishi wa habari
hawapo pichani kuelekea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya
tabaka la Ozone, ambayo huadhimishwa kila mwaka Sepetember 16. Kulia ni
Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. Julius
Ningu (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) |
No comments:
Post a Comment