TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 8 October 2013

Miss Utalii aomba watanzania wamwombee aweze kushinda

Mshindi wa Miss Utalii Tanzania Hadija Said akiwa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kuelekea Equtorial Guinea kwenye mashindano ya dunia mwishoni mwa wiki iliyopita
Mshindi wa Miss Utalii Tanzania Hadija Said (Katikati) akikabidhiwa ujumbe wa hifadhi ya ngorongoro na Mwenyekiti Mtendaji wa miss Utalii Tanzania Gideon Chipungahelo atakaotumia kutangaza vivutio vya hifadhi hio kwenye mashindano ya dunia ya miss Utalii yatakayofanyika Equtorial Guinea. Kushoto kwake ni Miss Utalii namba tatu Theresia Kimolo.

No comments:

Post a Comment