Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC, Dkt. Stagomena Tax,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa
mazungumzo leo, Dec 2, 2013. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano, Charles
Mubita.
No comments:
Post a Comment