Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya ukuzaji vipaji vya sanaa na muziki
(Unscripted Concert for Africa-Tanzania, UCA-Tz), Emmanuel Mushy
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha la UCA-Tz
litakalofanyika kesho jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kutoka kushoto ni
Mwakilishi kutoka kampuni ya Zantel, Divine Mosi na Fadhil Nandonde
kutoka UCA-Tz, kulia ni mwakilishi wa vijana kutoka nchini Uganda, Ms.
Faridah Nalunkuma |
No comments:
Post a Comment